Não gostou? Não há problema! Pode devolver os artigos até 30 dias
Não há como errar com um vale de oferta. O presenteado pode escolher qualquer produto da nossa oferta.
Kutoka umasikini wa kutupwa mpaka utajiri wa kusaza..., Kumbukumbu ya jinsi mimi na wenzangu masikini tulivyojikomboa na kujijenega kesho yetu..., kutoka kwenye kukata tamaa Nilikuwa Machinga Masikini katika lindi la masikini wenzangu, Nilikuwa sina kipato cha uhakika, nafukuzwa kila kona, sina makazi wala malazi, bila mafao ya uzeeni sikujua nikizeeka nigekuwa mgeni wa nani, nguvu zangu ndio zilikuwa mtaji wangu na lishe yangu duni ilikuwa ni suala la muda tu kabla hata nguvu hazijanitupa mkono.Tofauti na leo hii mimi na wenzangu tuna uhakika wa ajira zenye ujira zinazotuwezesha kugharimikia malazi, mavazi, chakula na afya zetu pindi tunapougua, tuna uhakika wa mafao ya uzeeni na baada ya matumizi yote bado tunabakiwa na chenji ya kufurahia maisha na wapendwa wetu... Kumbukumbu hizi zinaonyesha hatua tulizochukua kuweza kutengeneza hatima ya kesho yetu ambayo ndio leo...
Olá! Sou o Libroamiko, o seu conselheiro de livros.
Como posso ajudar?